Wilaya ya Liwale imesimama! Umati mkubwa wa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umejitokeza kwa shangwe na vifijo kumlaki Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mhe. Mary Pius Chatanda (MCC), alipowasili wilayani humo leo tarehe 13 Juni, 2026.

Chatanda yupo Liwale ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano Maalum la kumpongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya maendeleo anayoifanya.

Liwale wamethibitisha kwa vitendo kuwa UWT ni Jeshi Kubwa.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *