
Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Iran Masoud Pezeshkian wametia saini kwa njia ya kieletroniki makubaliano ya kumaliza vita vya Marekani na Israeli dhidi ya Iran.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Pande zote zinasema makubaliano hayo yanaanza kutumika mara moja.
Marekani inasema kwa mujibu wa makubaliano hayo, Iran haitategeneza wala kununua silaha za nyukilia.
Mlango wa bahari wa hormuz unatarajiwa kufunguliwa kufuatia hatua hiyo, vita vikisitishwa katika kila maeneo.