#KombeLaDunia2026 Hebu weka jicho lako hapa; Je, ni nani amekaa, kati ya Kennedy na Abissay?
Tukutane saa 1:00 usiku tuuanze pamoja mzunguko wa pili, baada ya kuhitimisha mzunguko wa kwanza.
Kumbuka tunaanza na kipindi cha Mzuka wa Kombe la Dunia chini ya Meena Ally kuanzia saa 11:00 jioni.
FT: Uzbekistan 1-3 Colombia.
Saa 1:00 usiku ni Czechia vs South Africa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza
(Feed generated with FetchRSS)