Kipande cha takribani urefu wa mita 500 cha barabara ya Magoti – Kabale katika barabara kuu ya Bukoba – Biharamulo mkoani Kagera kimeendelea kuwaliza watumiaji wa barabara hiyo kutokana na ubovu wake.
Benson Eustace amezungumza na watumiaji hao.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)