Ujerumani imefuzu hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ivory Coast katika mchezo wa Kundi E uliopigwa Toronto.
Ivory Coast wametangulia kufunga kupitia Franck KessiƩ dakika ya 30, lakini mshambuliaji Deniz Undav amebadilisha mchezo kwa kufunga mabao mawili dakika ya 68 na 90+4, na kuipa Ujerumani ushindi wa kusisimua wa dakika za mwisho.
Ushindi huo umeifanya Ujerumani kuongoza Kundi E na kutinga hatua ya 32 bora.

(Feed generated with FetchRSS)