VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @michaelhera_ ametoa tathmini yake kuhusu kiwango cha Azam FC katika mchezo wa nusu fainali wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Yanga SC.

Hyera amesema timu hiyo ilionesha nidhamu ya ulinzi, hasa baada ya kubaki pungufu uwanjani kufuatia mchezaji wao Yoro Diabi kupewa kadi nyekundu.

Azam FC watakutana na Simba SC katika fainali ya mashindano hayo.

✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#Viwanjani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *