#HABARI: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Serikali inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) imekuwa ikisimamia misingi ya amani tofauti na vyama vingine.
Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni mkoani Tabora alipokuwa kwenye ziara yake.
Wachambauzi wanasema hii ndio maana ya chama Kikongwe na chenye wanachama watiifu walio tayari kwa lolote na wasioyumbishwa na upepo.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)