Ingawa Mwalimu Yusuf Ibrahim ni mlemavu wa miguu lakini utaalamu wake na mbinu anazozitumia katika kutekeleza majukumu yake ya kukuza taaluma kwa wanafunzi wa shule za msingi ikiwemo michezo zimeendelea kuvutia wengi.

Mwandishi wetu Joseph Mpangala amezungumza nae kuhusu historia yake na ubunifu anaoufanya.��

Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *