“Ulemavu si kikwazo cha kukufanya ushindwe kuyafikia malengo uliyojipangia kwenye harakati mbalimbali za kimaisha”, hiyo ni imani anayoishi nayo mwanafunzi wa darasa la tano visiwani Zanzibar ambaye ana ulemavu wa macho, Said Omar Ali akilithibitisha hilo kwa matokeo bora ya mitihani ya darasa la nne.
Said anasoma katika shule ya msingi Kisiwandui mjini Unguja ametembelewa na Mtumwa Saidi.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)