PARADE LA SIMBA SC: Mchezaji wa Simba SC, @selemani_gomez amesema msimu uliopita ulikuwa mgumu na hawezi kusahau nafasi aliyokosa kuitumia katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa katika uwanja wa Isamuhyo.

Mwalimu amesema kama angefanikiwa kufunga katika nafasi hiyo, huenda matokeo ya mchezo yangekuwa tofauti kwani ilikuwa ni mechi muhimu kwa timu yao hata hivyo, mchezo huo ulimalizika suluhu ya (1-1).

Iko LIVE #AzamSports3HD

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Parade hili na burudani nyingine.

#SimbaSC #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *