Mashindano ya Mchezo wa Mpira wa Miguu yajulikanayo Kama Zuberi Cup yanatajwa kuwa Chachu ya kuibua Vipaji vya Michezo huo kwa Vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro

Mashindano hayo ambayo huusisha Vijana mbalimbali hasa katika Manispaa ya Moshi hufanyika kila Mwaka ambapo kwa mwaka 2026 ni Awamu ya Sita

Katika Uzindizi wa Mashindano hayo Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Mnzava anasema Mashindano ya Zuberi Cup ni Fursa kwa Vijana kuonyesha vipaji Vyao.

Mashindano ya Zuberi Cup yanatarajia kuanza kutimua Vumbi July 11 2026 huku timu Zaidi ya 20 kutoka katika Kata za Manispaa ya Moshi zikitarajia Kushiriki Mashindano Hayo

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *