#HABARI: Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia katika Taasisi za Elimu, yameendelea kuleta mageuzi Wilayani Monduli mkoani Arusha, ambapo shule zilizoanza kutumia teknolojia hiyo zimeripoti kupungua kwa matumizi ya kuni na mkaa pamoja na kuimarika kwa mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.
Wilaya ya Monduli ni miongoni mwa maeneo yanayokabiliwa na athari za ukame unaochangiwa na uharibifu wa mazingira, hususani ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, wadau wanaamini kuwa kuongezeka kwa matumizi ya nishati safi kutasaidia kulinda mazingira, kupunguza ukataji wa miti na kuchangia maendeleo endelevu ya jamii.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)