Iran imeutahadharisha Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa itawajibika kwa kile ilichodai kuwa ushirikiano wake na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Iran.

Mbunge wa Iran, Ismail Kowsari, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Usalama ya Taifa, amesema baadhi ya nchi za Falme za Kiarabu zimehusika katika mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya Iran.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *