Pengine wengi wa watu hudhani wanafunzi wanaopata ufaulu wa juu kwenye mitihani husaidiwa na mazingira bora ya kusoma ikiwemo upatikanaji wa nyenzo zote muhimu kama vile vitabu na maabara za kufanyia majaribio.��
Hata hivyo, taarifa ya Mawazo Mwaijengo inamuangazia mwanafunzi kutoka katika familia masikini inayotegemea vibarua alivyofanya maajabu na kuibuka ‘mwanafunzi nambari moja Tanzania’.��
Mhariri @moseskwindi
#azamtvupdates
(Feed generated with FetchRSS)