Shirika la Usalama wa Anga la Umoja wa Ulaya (EASA) limeyaonya mashirika ya ndege kutoka katika Umoja wa Ulaya kutopitisha ndege zake kwenye anga ya ukanda wa Mashariki ya Kati kwa hofu ya usalama kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Marekani na Iran.��

Mhariri @moseskwindi
#azamtvupdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *