MZUKA WC2026 | Je, nusu ni nini?
Haya hapa majibu kutoka kwa Meena Ally ambaye leo amefungua show na somo la nusu, huku akitema madini ya kihistoria kuhusu timu nne zilizotinga nusu fainali ya Kombe ka Dunia.
Meena akiwa ndani ya ‘mtoko’ wa kibabe, anasema Waingereza ndiyo watu wa kwanza kuvumbua kitu kinachoitwa ‘Half-Time’ kwenye boli.
Je, wewe unajua nini kuhusu nusu?
Weka maoni yako hapa..
Hii ni #MzukaWaKombeLaDunia2026 kuelekea mechi za nusu fainali, leo tukianza na France vs Spain, saa 4:00 usiku.
#MzukaWC2026 #FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV
(Feed generated with FetchRSS)