Dhamira ya kurejesha kwa jamii imefanywa na Wafanyakazi Wanawake wa Bakhresa Group kwa kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa vituo vya watoto yatima vilivyopo jijini Dar es Salaam.��Vituo vilivyonufaika ni Tulee Yatima Tanzania (TUYATA) cha Magomeni na Kituo cha Huruma kilichopo Vingunguti.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa Bakhresa Group (SSB), Rehema Salim, amesema mpango huo unalenga kugusa maisha ya wenye uhitaji.��
Mhariri @moseskwindi
#azamtvupdates
(Feed generated with FetchRSS)