Kaya 49 za wakazi wa Mnazi Mmoja na Mbanja mkoani Lindi zimepokea malipo ya Shilingi Milioni 510 ikiwa ni fidia kwa wananchi hao waliopisha upanuzi wa chanzo cha maji.
�Malipo hayo yanatazamwa kama ukombozi kwa kaya hizo ambazo zilisubiri haki yao kwa muda mrefu ili kuendelea na shughuli za maendeleo.
Omary Mikoma amefuatilia tukio hilo na kutuandalia ripoti ifuatayo.���
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)