KWAHERI MGENI: Idara ya Masoko ya Azam TV imezindua kampeni kabambe ya masoko kuelekea fainali ya Kombe la Dunia 2026.

Kampeni hii inalenga kuhamasisha umma ikisindikizwa na kaulimbiu ya “Burudani kwa Wote”.

Kampeni hiyo inaratibiwa na Meneja Masoko wa Kanda ya Dar es Salaam, Gorge Kaurananga , ikiwakumbusha watumiaji wa kisimbuzi cha #AzamTV kwamba wameshazitazama mechi 102 za Kombe la Dunia na sasa wajiandae kwa uhondo wa mechi mbili zilizosalia ambazo ni za Mshindi wa Tatu na Fainali yenyewe ili kutimiza ile idadi ya mechi 104 tulizowaahidi.

#KombeLaDunia2026 #KwaheriMgeni

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *