UNMATCHED BASKETBALL FESTIVAL: Washiriki wa kempu ya ‘Unmatched Basketball Festival’ wamepongeza juhudi za makocha wa ndani na nje ya nchi kwa kuwapa mafunzo yenye ubora, hamasa na ujuzi uliowasaidia kuboresha uwezo wao ndani na nje ya uwanja.
Wamesema kempu hiyo imekuwa fursa muhimu ya kujifunza mbinu mpya za mchezo, kukuza vipaji na kujijengea kujiamini kuelekea hatua zinazofuata katika safari yao ya mpira wa kikapu.
#UnmatchedBasketballFestival #Basketball
(Feed generated with FetchRSS)