Wadau wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamesema chuo hicho kinaweza kuimarisha zaidi nafasi yake na kujenga taswira bora kimataifa endapo Serikali itaongeza uwekezaji katika utafiti ili kubaini na kutatua changamoto zinazowakabili Watanzania.
Ushauri huo umetolewa wakati ambapo chuo hicho kimeingia katika vyuo 10 bora barani Afrika kwa utoaji wa wahitimu wanaoajirika kwa urahisi kwa mujibu wa Mtandao wa Kuangalia Viwango Vya Vyuo Vikuu Duniani (QS WUR) 2027.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)