#HABARI:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi, amesema hatokua tayari kuona kundi la watu wachache wenye maslahi binafsi wanachezea amani iliyopo kwa kujificha katika kichaka cha Haaki za binadamu na Demokrasia, huku akiwahakikishia jamii ya Watanzania kuendelea kuwepo kwa Hali ya utulivu nchini, huku akisema yupo tayari kwenda mahakamani hata usiku ili jamii iweze kupata suluhu ya Wapotoshaji wanaotumika kuchochea chuki na kuhatarisha amani ya Nchi kwa maslahi yao binafsi na kundi.

Ametoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti akizungumza Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa,Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji Vitongoji, Shinyanga Mjini.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *