Wasichana 30 kati ya wasichana 100 walioomba fursa ya kupata mafunzo maalumu ya ushonaji kutoka Chuo Cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wamebahatika kupata nafasi hizo huku waratibu wa mafunzo hayo, Taasisi ya Sisters wakiwahimiza vijana nchini kuchangamkia fursa za elimu na ujuzi kila zinapotokea kwa lengo la kujikwamua kimaisha.
Ushauri huo umetolewa na watendaji mbalimbali wa taasisi hiyo ya Sisters in Emaan kwa kushirikiana na VETA na NUWAKOTA
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)