Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka viongozi wa vijiji na kata kufanya kazi kwa ushirikiano bila kuzingatia tofauti za vyama vya siasa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayowanufaisha wananchi.

Akizungumza na wnanchi wa Kijiji cha Nankanga, Tarafa ya Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga leo (21 Julai 2026), Sangu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela, alisema viongozi wanapaswa kuiga mfano wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ameunda Serikali inayoshirikisha viongozi kutoka vyama tofauti vya siasa.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *