#BREAKINGUPDATES: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Andrew Kantimbo, amesema chanzo cha ajali ya Malori mawili yaliyogongana uso kwa uso ni uzembe wa dereva wa Lori lililokuwa limebeba mchanga likielekea Chalinze kuacha njia na kugongana na lori ambalo lilikuwa limebeba kemikali aina ya Salpha, na kusababisha kifo cha mtu mmoja jinsia ya kiume ambaye ni mtu mzima, huku majeruhi wawili wakipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.

Kamanda Kantimbo amewataka watumiaji wa vyombo vya moto kuzingatia sheria za usalama barabarani na hasa madereva wa malori ya masafa marefu.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *