#BREAKING: Ajali iliyohusisha Malori mawili kugongana uso kwa uso, moja lililokuwa limebeba kemikali aina ya Salpha, likitokea uelekeo wa Dar es Salaam kwenda Iringa -Mbeya, na Lori linguine lililokuwa limebeba Makaa ya Mawe likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam na kupelekea magari hayo kuwaka moto, huku mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake akisadikiwa kupoteza Maisha na wengine waliokuwa kwenye magari hayo ikibaki kitendawili baada ya kuteketea moto.
Mwanahabari wetu Idda Mushi yupo eneo la tukio muda huu anatueleza mkasa mzima juu ya ajali hiyo.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)