DAR. Unapozungumzia Tabasamu basi utalipata CRDB Benki. Mapema leo Benki ya CRDB.i imeendelea kusambaza tabasamu katika Studio za Kituo cha Runinga cha Star TV, Radio Free Africa (RFA) na Kiss FM.
Ugeni mzito uliongozwa Meneja wa Shughuli za Fedha na Biashara – Benki ya CRDB, Mathias Mushi na Gift Swai, Meneja Msaidizi wa Masoko na Mawasiliano – Jubilee Life Insurance umetembelea ofisi hizo zilizopo Kinondoni B’
Jjini Dar es Salaam.
Wana familia wa Star Tv ni Official Partner! Tunakujulisha usikose kuwa sehemu ya kusambaza tabasamu❤️💚🏃🏾♀️🏃🏾♂️
🗓️ 16 Agosti 2026
📍 Postal Grounds, Kijitonyama
usajili:
✅ Mtu mmoja – Tsh 50,000
✅ Kikundi cha watu 30 na kuendelea – Tsh 45,000 kwa kila mshiriki
Star TV* tutakuwa pamoja nawe kuanzia maandalizi hadi siku ya mbio kaa nasi.
Kujisajili ni rahisi tembelea tovuti ya www.crdbbankfoundation.co.tz.
#KasiIsambazayoTabasamu
#habaristartv
#CRDB Bank Marathon 2026
(Feed generated with FetchRSS)