#HABARI: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Usongwe, katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya shule hususani kujengewa mabweni katika shule hiyo ili kupunguza msongamano, utoro na kuimarisha ufaulu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.