#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini, mkoani Kagera, Adonis Alfred Bitegeko, amerejesha fomu ya kupeperusha bendela ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Mwaka 2025 – 2030.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania