#MICHEZO: Rais wa Shirikisho la Soka Afrika CAF, Patrice Motsepe ameelezea dhamira ya shirikisho hilo kuwa malengo yao makubwa ni kuona timu mbalimbali ngazi ya vilabu zinafanya vizuri kwenye mashindano ya dunia.

Motsepe ameyasema hayo kwenye mkutano mkuu wa CAF wa 47 nchini DRC.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *