Trump afufua tena simulizi za 'Riviera' ya Ghaza katika mkutano na Blair na KushnerTrump afufua tena simulizi za 'Riviera' ya Ghaza katika mkutano na Blair na Kushner



Rais Donald Trump wa Marekani amefufua tena mpango wake wa kuwahamisha Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza na kuligeuza eneo hilo la ardhi ya Palestina kuwa sehemu ya starehe na burudani alipokutana ikulu ya White House na mkwewe Jared Kushner na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ambao wote wawili wanahusishwa na uandaaji wa mpango huo unaotajwa kuwa ni wa kikoloni.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *