#HABARI: Mvua iliyonyesha jana imesababisha nyumba zaidi ya ishirini katika Mtaa wa Tabata Kata ya Tabata, Ilala Dar es Salaam, kuzingirwa na maji kutokana na mifereji kuziba na kusababisha baadhi ya wakazi kuzikimbia nyumba zao kwa muda.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.