Ujerumani haiko tayari kuidhinisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Israel kufuatia vita vya Gaza++++Ufaransa yasema Marekani haitakiwi kuwanyima wajumbe wa Palestina nafasi ya kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu La Umoja wa Mataifa mjini New York++++Fainali za Kombe la CHAN zafanyika Nairobi- Morocco wanatarajiwa kuchuana na Madagascar.