#TANZIA: Baada ya taarifa za Kifo cha Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga waombolezaji wamefika Nyumbani kwa Raila eneo la Bondo.
Rais wa Kenya William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Taifa pamoja na familia ya hayati Odinga, akiwa nyumbani kwa Odinga.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania