#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wito wa maandamano, na kueleza kuwa serikali haitavumilia vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na utulivu wa mkoa huo, na kuwasihi wananchi kwamba badala ya kushiriki katika ajenda zenye lengo la kuvuruga amani wanapaswa kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

RC Chalamila amewataka wananchi kushirikiana na Serikali kulinda miundombinu ya umma na kuepuka vitendo vya uharibifu, akibainisha kuwa maendeleo endelevu yanahitaji ushirikiano wa karibu kati ya Serikali na wananchi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *