#HABARI: Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalam wa afya nchini ili kuboresha utambuzi wa haraka wa ugonjwa wa Kipindupindu, hatua itakayosaidia kuudhibiti kabla haujasambaa.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Oktoba 16, 2025, wakati wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa miaka miwili ya Mradi wa Kujengea Uwezo Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, unaofadhiliwa na Shirika la Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH), Kaimu Mkurugenzi wa Maabara hiyo, Bw. Ambele Mwafulango, amesema mpango wa mwaka wa tatu wa mradi huo umejikita katika kujenga uwezo wa wataalam katika maeneo mbalimbali nchini.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *