#HABARI: Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam hii leo inaendelea kumsikiliza shahidi wa tatu Inspekta Samweli Elibariki Kaaya, polisi kitengo cha picha Kamisheni ya Uchunguzi Sayansi Jinai mwenye umri wa miaka 39.
Shahidi huyo alianza kutoa ushahidi wake jana Oktoba 16, 2025 katika kesi hiyo ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Samweli anaongozwa na Wakili wa Serikali Tawabu Issa mbele ya jopo la majaji watatu walioongozwa
na jaji Duntan Ndunguru, Mfawidhi wa Mahakama kuu Kanda ya lringa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.