#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kupatikana kwa Padre Camillus Aron Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, baada ya kupotea tangu Oktoba 9, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Chilya, amesema Padre Nikata amepatikana katika mashamba ya Kijiji cha Mawa, Kata ya Hanga mkoani humo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.