Mwili wa Odinga wawasili Bondo tayari kwa mazishi Jumapili+++ Israel yarejesha miili 15 ya Wapalestina huko Gaza+++Urusi yaishambulia Ukraine katikati mwa juhudi za diplomasia+++Maelfu wakimbia pwani ya Ufilipino kutokana na dhoruba+++Afghanistan na Pakistan zajaribu kutuliza mzozo unaoongezeka+++Upinzani Ivory Coast walaani marufuku ya maandamano na mikutano.