#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche amewekwa kizuizini, taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Brenda Rupia, imeeleza kuwa Heche alikamatwa saa nane mchana leo tarehe Oktoba 18, 2025 mkoani Mara, alipotaka kuingia nchini Kenya
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania