#HABARI: Tamko la kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA), la kuwataka waathirika wa dawa hizo kujitokeza kupata tiba bila kukamatwa, linaendelea kupongezwa na wadau mbalimbali wakiwemo wananchi na pia watendaji wa Jeshi la Polisi ambao wamesema litaongeza tija kubwa katika kudhibiti matumizi ya dawa hizo.

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *