#HABARI: Moto ambao uliwashwa kwa ajili ya kusafisha mashamba maeneo ya Kipalapala Mashariki, Kata ya Itetemia Manispaa ya Tabora, umepeperushwa na upepo na kuteketeza nyumba moja ya muhudumu wa Afya iliyopo kando na mashamba hayo, ambapo watoto watatu waliokuwa wamelala kwenye nyumba hiyo wamenusurika kifo, huku mali, vyakula na baadhi ya nyaraka za kazi zikiteketea kwa moto.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *