#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Sumbawanga na Watanzania kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, huku akimshukuru kwa usikivu wake na utekelezaji wa mahitaji ya wananchi wa Sumbawanga Mjini.
“Mhe. Mgombea wana Sumbawanga watakuwa mashahidi nikiwa Bungeni kwa miaka kumi, nimepambana kuomba Uwanja wa Ndege na mara ya mwisho niliomba bajeti ya Uwanja wa Ndege itolewe kwenye bajeti ya Bunge, lakini Mhe. Rais ulitusikiliza na tumepokea Bilioni 61, niombe kukuambia kuwa tumekamilisha uwanja ule kwa asilimia 90 na mimi ninaamini utautumia Uwanja ule kusafiri kurudi nyumbani”
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.