#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imejipanga kuanzisha gridi ya taifa ya maji, itakayounganisha vyanzo vikubwa vitatu vya maji nchini, ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata maji safi na salama.

Akizungumza kwenye kutano wa Kampeni uliofanyika Viwanja vya Kizwite, Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, Dkt.Samia amesema hatua hiyo inalenga kuongeza uhakika wa upatikanaji wa maji kwa wananchi wote bila kujali umbali au mazingira wanayoishi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *