Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amezikwa leo Oktoba 19, 2025 katika makaburi ya familia huko Bondo.
Odinga ambaye alikuwa pia kiongozi wa upinzani nchini Kenya amezikwa pembeni ya kaburi la baba yake, marehemu Jaramogi Oginga Odinga.
📹 AFP
✍ @claud_jm
#AzamTVUpdates