Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kuunufaisha mkoa wa Mara kupitia usimamizi mzuri wa rasilimali za mkoa huo kama anavyoeleza Augustine Mgendi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *