#HABARI: Raia 11 kutoka mataifa ya Bangladesh, Somalia, Ethiopia na Burundi wamekamatwa na mamlaka ya uhamiliaji mkoani Morogoro wakiwa wamejificha katika pori lililopo kitongoji cha Rranchi Dakawa, wilayani Mvomero, baada ya kudaiwa kuingia nchini kinyume cha sheria.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.