#HABARI: Mawakili wa Chama Cha ACT Wazalendo leo wamekataa rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania jijini Dar es Salaam baada Bwana Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT- Wazalendo juu ya kupinga kuenguliwa kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi huu baada ya maombi yao kutupiliwa mbali Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *