#HABARI: Muda mfupi kabla mapingamizi kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA hayajolewa uamuzi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake wala cheo chake ni nani aliisumbua Mahamaka kwa kupiga kelele kwa kutaka kuzungumza jambo ndani ya Mahakama ndipo alipotolewa nje na maafisa wa magereza waliokuwa wanaimarisha usalama ndani ya Mahakama.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.