#HABARI: Taifa la Ujerumani kwa kushirikina na serikali wameanza mchakato wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira ikiwemo uchimbaji haramu wa madini unaofanywa na baadhi ya watu katika vyanzo vya maji vilivyopo katika msitu wa mazingira asili wa amani wilayani Muheza kwa kuwapatia wananchi wa shughuli mbadala za kujipatia kipato.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *